Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 542
- 264
Karibuni wafugaji wote. Tunauza mashine za kutotoleshea vifaranga za ukubwa mbalimbali
Kwa mawasiliano ni 0753903809, au 0655903809 au expecamdu@gmail.com au tembelea facebook page yetu ya TAGAMENDA POULTRY UNIT AND INCUBATOR CONSTRUCTION au tembelea www.mrmduda.blogspot.com
View attachment 616722
HABARI,Hata mimi nashangaa! Hivi kuweka bei ina ugumu gani? Umeweza kutengeneza mashine, bei iwe suala gumu! Watanzania tubadilike.
Tujifunze kwa mataifa/mitandao mengine mfano alibaba,aliexpress au ebay.
Ajiongezee zaidi acha kutetea ujinga labda awe dalali ndo maana hajui jinsi yakutangaza biashara
Kwani na wewe inakuuma nini mpaka uwajibie? Watu wanataka tangazo lililokamilika, mbona kuna incubators nyingi tu zinatangazwa humu na bei zake (search uone). Yaani biashara yake mwenyewe halafu atupe na kazi ya kupiga simu kuuliza kila kitu?HABARI,
Wewe unatoka mapovu nini kinachoo kuuma sana ujinga upi tatizo lugha unayotumia utadhani wewe ndio umemuajiri atengeneze hizo mashine,Kama unauchungu sana umesha mpigia simu nyie ndio mmnaotaka udalali ndio maana mnakimbilia bei hiyo ni tabia ya madalali wewe kama unataka piga simu ndio maana ya kuweka bei ya simu pale.
LUMUMBA
Kwani na wewe inakuuma nini mpaka uwajibie? Watu wanataka tangazo lililokamilika, mbona kuna incubators nyingi tu zinatangazwa humu na bei zake (search uone). Yaani biashara yake mwenyewe halafu atupe na kazi ya kupiga simu kuuliza kila kitu?
taarifa hazijitoshelezi mfano capacity na bei hakunaHii ni mashine ya kutotolesha vifaranga (incubator) ya mayai yenye ufanisi wa hadi 98%. Ni automatic, haina usumbufu kabisa.
Ni imara sana na yenye insulation kubwa ambayo inatunza joto kwa muda mrefu hadi masaa 12.
Hii si ya muundo wa incubator za kichina. Ni muundo wa mashine mpya kabisa. Box lake siyo la mbao ndiyo maana ni imara. Ukinunua leo mpaka mjukuu atatumia.
0655903809.
View attachment 2617529View attachment 2617530View attachment 2617531