Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quantam magnetic resonance machineWatu ni wengi na wote wanataka kwenda kupima afaya zao kwa mtaalamu wa tiba mbadala na wanaeleza ya kuwa mtaalamu huyu ana kifaa cha kupima mwili mzima na kujua shida zako zote.
Wadau, naomba mwenye kujua jina la kifaa hicho na gharama yake
Gharama yake anzia laki 5 hadi milioni inategemeana na ubora na mzalishaji hibei hadi inafika bongoQuantam magnetic resonance machine
Asanteni sana wote.Ngoja nianze kuisoma taratibu kwani kama ni rahisi hicho hospital kwa nini zisitumike hospitali?Quantam magnetic resonance machine
Itoe negative halafu mmiliki atakula nini?Hiyo Mashine haijawahi toa negative...
Watu ni wengi na wote wanataka kwenda kupima afaya zao kwa mtaalamu wa tiba mbadala na wanaeleza ya kuwa mtaalamu huyu ana kifaa cha kupima mwili mzima na kujua shida zako zote.
Wadau, naomba mwenye kujua jina la kifaa hicho na gharama yake