Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

Yakikaguliwa haya kwa uhuru uwazi na bila kificho...kitaumana
Kwa TANESCO Kalemani ana la kujibu
Kalemani ni binamu wa aliyekuwa Rais Hyatt JPM na kuna Fedha nyingi sana imechotwa TANESCO kwenda kwenye miradi ya Chato State House, Chato Airport na Chato/Burigi National Park!

Lakini pia Fedha nyingine imepigwa kwene Umeme Vijijini(REA)kwa maelekezo ya mwendazake.
 
Lakini karibuni yote hapo tuliona yakitoa gawio kwa serekali
Hiyo ilikuwa ni kiini macho tu cha kuhalalisha UPIGAJI!
Sheria au Utaratibu wa kutoa GAWIO ni kwamba LAZIMA SHIRIKA LIWE LIMEPATA FAIDA BAADA YA KUONDOA GHARAMA ZOTE ZA UENDESHAJI!!
Lakini kwa case ya Magawio ya Mashirika haya it's just a mere Political Issue!!
 
Kwa heshima na taadhima kwake Mhe. Samia Suluhu Hassani fukuza au tumbua Wakurugenzi wote wa Mashirika haya 11 ya Umma! Lazima kuna wizi mkubwa umefanyika huko.
 
Plant ya Nyungu ya Muhimbili ina harufu ya upigaji! Bajeti yake ilijadiliwa na kupitishwa wap? Assuming Hizi taasisi zingekaguliwa kwa uwazi na haki ingekuwa ni msiba wa kitaifa kwa wanyonge
 
Mnyonge mnyongeni, Angekuwepo Magufuli hawa Ma CEO wangekaa majumbani kwao na 'mafi' Yao.

Siyo kweli. Hayati Magufuli ndo aliyewaeka hao ma DGs kwa malengo Maalumu.....Ili Kukusanya Fedha na kuwasilisha kwake kama GAWIO huku yakiendelea kujiendesha kwa HASARA!!
Kumbuka report ya CAG haikuandaliwa overnight baada ya Magufuli kututoka!!!
 
Na mama kakaa kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…