Mashirika 3 ya ndege ya Kenya yapigwa marufuku kuingia Tanzania

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
2,128
Reaction score
2,867
Mashirika 3 ya ndege ya Kenya yapigwa marufuku kuingia Tanzania

- Mnamo Jumanne, Agosti 25, Mamlaka ya Safari za Ndege Nchini Tanzania (TCAA) ilitupilia mbali leseni ya Fly 540, Air Kenya Express na Safarilink Aviation kuingia nchini humo
- Mashirika hayo matatu ya ndege yalikuwa yakiendesha safari za kila siku kutoka na kuelekea Zanzibar na Kilimanjaro

- Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Johari Hamza alidai kuwa mashirika hayo sasa yatalazimika kutafuta leseni mpya
Tanzania imepiga marufuku mashirika matatu ya ndege ya Kenya huku malumbano kati ya mataifa hayo mawili ya Kanda ya Afrika Mashariki yakiendelea kuhusiana na sheria za COVID-19.

Hatua hiyo ya Dodoma inakujia baada ya Nairobi kushikilia kwamba ni lazima Watanzania waingie karantini kwa siku 14 kabla ya kuruhusiwa kuingia nchini.

Habari Nyingine: Wakenya mtandaoni wazulia shati la Rais Uhuru matani
Ndege ya shirika la 540 katika uwanja wa Malindi.Picha:Fly 540.

Habari Nyingine: Jamaa ashtuka kugundua mrembo aliyemwalika kwake usiku ni mwanamume
Mnamo Jumanne, Agosti 25, Mamlaka ya Safari za Ndege Nchini Tanzania (TCAA) ilitupilia mbali leseni ya Fly 540, Air Kenya Express na Safarilink Aviation.

"Hii ni kulingana na kuidhinishwa kwa kurefushwa kwa safari za msimu wa joto za Air Kenya Express. Ombi hilo lilikubali Air Kenya kuendesha shughuli za usafiir kutka Nairobi na Kilimanjaro kuanzia Machi 27 hadi Oktoba 25. Hata hivyo, tunasikitika kuwafahamisha kuwa idhini hiyo mefutwa," alisem Mkurigenzi Mkuu waTCAA, Hamza Johari kupitia barua.

Habari Nyingine: Khalwale taabani kwa kumhusisha Gladys Wanga kwenye sakata ya KEMSA
Mashirika hayo matatu ya ndege yalikuwa yakiendesha safari za kila siku kutoka na kuelekea Zanzibar na Kilimanjaro.

Hamza alidai kuwa mashirika hayo sasa yatalazimika kutafuta leseni mpya ambapo ni pigo kwao huku ikikumbukwa kuwa marufuku ya safari za ndege za kimataifa na humu nchini yalilegezwa.
Tanzania pia ilipiga marufuku KQ kuingi nchini humo.

Hatua ya TCAA inakujia yapata siku 21 baada ya kupiga marufuku Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) kutua nchini humo.

TCAA ilisema ndege za KQ zilipigwa marufuku baada ya serikali ya Kenya kufungia nje Tanzania katika orodha ya mataifa ambayo yaliruhusiwa kuingia nchini kufuatia kuchipuka kwa COVID-19.

"Tanzania imetambua kufungiwa kwake nje ya orodha ya mataifa ambayo raia wake wataruhusiwa kuingia Kenya.Serikali ya Tanzania imeamua kufuta leseni ya ndege za Kenya Airways (KQ) kutoka Nairobi na Dar/Kilimanjaro/Zanzibar kuanzia Agosti 1, 2020,"

aliandika Hamza. Mashirika 3 ya ndege ya Kenya yapigwa marufuku kuingia Tanzania
 
Hatua hizi tulichelewa sana kuzichukua, sasa tutaheshimiana.
Subiria yapete masaa 24 utasikia tu sauti za [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] zikitokea upande wa kaskazini bc ujue watakua washamuona chui hivyo. Najua hawana uvumilivu wa kumaliza wiki bila ya kusikia hizo sauti
 
Mashirika 3 ya ndege ya Kenya yapigwa marufuku kuingia Tanzania

- Mnamo Jumanne, Agosti 25, Mamlaka ya Safari za Ndege Nchini Tanzania (TCAA) ilitupilia mbali leseni ya Fly 540, Air Kenya Express na Safarilink Aviation kuingia nchini humo
- Mashirika hayo matatu ya ndege yalikuwa yakiendesha safari za kila siku kutoka na kuelekea Zanzibar na Kilimanjaro

- Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Johari Hamza alidai kuwa mashirika hayo sasa yatalazimika kutafuta leseni mpya
Tanzania imepiga marufuku mashirika matatu ya ndege ya Kenya huku malumbano kati ya mataifa hayo mawili ya Kanda ya Afrika Mashariki yakiendelea kuhusiana na sheria za COVID-19.

Hatua hiyo ya Dodoma inakujia baada ya Nairobi kushikilia kwamba ni lazima Watanzania waingie karantini kwa siku 14 kabla ya kuruhusiwa kuingia nchini.

Habari Nyingine: Wakenya mtandaoni wazulia shati la Rais Uhuru matani
Ndege ya shirika la 540 katika uwanja wa Malindi.Picha:Fly 540.

Habari Nyingine: Jamaa ashtuka kugundua mrembo aliyemwalika kwake usiku ni mwanamume
Mnamo Jumanne, Agosti 25, Mamlaka ya Safari za Ndege Nchini Tanzania (TCAA) ilitupilia mbali leseni ya Fly 540, Air Kenya Express na Safarilink Aviation.

"Hii ni kulingana na kuidhinishwa kwa kurefushwa kwa safari za msimu wa joto za Air Kenya Express. Ombi hilo lilikubali Air Kenya kuendesha shughuli za usafiir kutka Nairobi na Kilimanjaro kuanzia Machi 27 hadi Oktoba 25. Hata hivyo, tunasikitika kuwafahamisha kuwa idhini hiyo mefutwa," alisem Mkurigenzi Mkuu waTCAA, Hamza Johari kupitia barua.

Habari Nyingine: Khalwale taabani kwa kumhusisha Gladys Wanga kwenye sakata ya KEMSA
Mashirika hayo matatu ya ndege yalikuwa yakiendesha safari za kila siku kutoka na kuelekea Zanzibar na Kilimanjaro.

Hamza alidai kuwa mashirika hayo sasa yatalazimika kutafuta leseni mpya ambapo ni pigo kwao huku ikikumbukwa kuwa marufuku ya safari za ndege za kimataifa na humu nchini yalilegezwa.
Tanzania pia ilipiga marufuku KQ kuingi nchini humo.

Hatua ya TCAA inakujia yapata siku 21 baada ya kupiga marufuku Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) kutua nchini humo.

TCAA ilisema ndege za KQ zilipigwa marufuku baada ya serikali ya Kenya kufungia nje Tanzania katika orodha ya mataifa ambayo yaliruhusiwa kuingia nchini kufuatia kuchipuka kwa COVID-19.

"Tanzania imetambua kufungiwa kwake nje ya orodha ya mataifa ambayo raia wake wataruhusiwa kuingia Kenya.Serikali ya Tanzania imeamua kufuta leseni ya ndege za Kenya Airways (KQ) kutoka Nairobi na Dar/Kilimanjaro/Zanzibar kuanzia Agosti 1, 2020,"

aliandika Hamza. Mashirika 3 ya ndege ya Kenya yapigwa marufuku kuingia Tanzania

I advise my country to ban them completely including their investments and products. We don’t have to rely on coward nation.
We have to start looking for alternative markets coz I believe it is not only our market there! I know we will suffer a bit while but for them they will suffer hundred times for long time.
 
Ila huko mbali Sana tungezuia tu raia wa kenya kufanya kazi TANZANIA kigezo kidogo tu ,kila sehem ili upate kazi unatakiwa kuwa na kitambulisho cha nida na watu wa uhamiaji waminye viza Kwa wakenya tu bc
 
Back
Top Bottom