Mashirika ya Kibinaadamu yasitisha misaada Afghanistan

Mashirika ya Kibinaadamu yasitisha misaada Afghanistan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mashirika Matano yamechukua uamuzi huo kutokana na mfululizo wa makatazo mapya yanayowekwa dhidi ya Wanawaka Nchini humo chini ya utawala wa Taliban.

Baadhi ya mashirika hayo ni Care International, the Norwegian Refugee Council (NRC) na Save the Children ambayo yamesema hayawezi kufanya kazi bila wafanyaazi wenzao wa kike.

Hivi karibuni Taliban walitangaza katazo la Wanawake kusoma Chuo Kikuu pia wakatangaza kuwazuia kufanya kazi katika taasisi zisizo za Kiserikali.

========== ============

Five top non-governmental organisations (NGOs) have suspended work in Afghanistan after women were banned from working for them by the Taliban.

Care International, the Norwegian Refugee Council (NRC) and Save the Children said they could not continue their work "without our female staff".

The International Rescue Committee also suspended services while Islamic Relief said it was stopping most of its work.

Afghanistan's ruling Taliban have been steadily repressing women's rights.

The latest edict on NGOs came just days after the Taliban banned women from attending university.

Source: BBC
 
Ni hatari sana serikali kuji shikiza na dini hii swala ni hatari sana, hata hapa nyumbani nime kuwa nikisisitiza kuwa serikali ina paswa kujiweka mbali kabisa na dini.

Wacha dini ifanye kazi yake na serikali pia ifanye kazi yake dini isi jiingize katika maswala ya kiserikali.
 
Hahahaahahaaaa!!! Save the children kwa kiarabu inaandikwaje?
 
Hawa jamaa wanaenda Sana kinyume na Uislamu.

Dini yetu imesisitiza sana.swala la kusoma na ndio maana Mtume alisema itafutwe elimu hata ikiwa China,nashangaa Sana wanawake kuzuiwa kwenda chuo kikuu.

Wahuni wakubwa hao
 
Taliban ni wahuni tu hao, wanajificha nyuma ya pazia la dini ili watawale, sasa dini gani hiyo yenye mambo ya kipumbavu hivyo.
Mtume wao aliagiza hivyo
 
Kama misaada yenyewe sharti Wanawake wawe huru kusagana ni Bora waache[emoji3525]
 
Back
Top Bottom