KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu tour guider Zanzibar analaza mpka laki 2 net. Mashirika haya kama Kuna Kaz nyibgine unafanya tu.. mm nataka nikasomee Italia na German niingie rasmi kwenye utalii.
 
Tena watakubana sana. Kuandika kwenyewe kiswahili hujui halafu unalilia mshahara mkubwa! Eti wabaguzi! Unabaguliwaje ukiwa kwenye nchi yako kama wewe siyo nanga!
 

Kazi mkipewa hamfanyi. Mkikosa mnalalamika.
 
Nipo Nduta, Nyarugusu palishafungwa. na sasa hivi baadhi yetu washapewa notice ya kufukuzwa kazi mana mradi unaelekea ukingoni!
Kama mdau hapo juu alivyodokeza, fanya mkakati wakuhamishie Uganda au Goma DRC, ukifanikiwa hapo ujue utahitajika mahali pengi Duniani. Usijifungie humu ndani! Sijui umri wako lakini naiona hiyo kama fursa ya kwenda kimataifa zaidi.
Nduta inafungwa? Kile kijiji matumizi ni yapi siku za usoni na wakimbizi watawapeleka wapi?... Sidhani kama MSF na mashirika yote ya kimataifa yaliyojichimbia hapo Kibondo watakuwa tayari kuwaruhusu wakimbizi waondoke, maana na wao kibarua kitaota mbawa!. Hakikisha shirika likiondoka Nduta na wewe usikose kwenye orodha. Kila la kheri mkuu.
 
Hamia Jhpiego au Amref

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Hauna qualifications wewe, acha kulialia
 
Pia sio mashirika yote ni ya hovyo
Tuko tunakula bata Chuga huku kiroho safi na International NGOs
Habar KIONGOZ,mi dereva ila sjawah fanya kazi international NGO yeyote,lkin nataman nifanye Kaz mashirika au hizo taasisi, Please km Kuna chance nisaidie hapo nijitose.
 
mkuuu awa jama MSF walitoaga nafasi ya head of watchmen ivii uyuu atakua analipwaje mbona majangaa na sijui io nafasi iliyeyukiaaa wapiiii au ndo mtu ashakula office kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…