Mashirika ya kutoa dawa za tiba asili.

Mashirika ya kutoa dawa za tiba asili.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Wakuu naomba kama kuna yeyote ambae yupo katika moja ya shirika husika tajwa hapo juu, naomba kuunganishwa kwa ajili ya interview ili kupata kazi katika shirika lolote.

Elimu yangu ni tabibu, (diploma in clinical medicine).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...hivi tiba asili si ndo Hawa waganga wa kienyeji?







sent by using my TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom