Ninakubaliana na sehemu moja ya andiko lako, kuhusu "mwenye kuwawajibisha mafisadi wa mali ya umma naye analalamika juu ya ufisadi..."Tanzania ndio nchi pekee ambayo mwenye anapaswa kuwawajibisha mafisadi wa Mali ya umma nae analalamika juu ya ufisadi ulio wazi kabisa hakika mwafrika hawezi kujitawala.
"Demokrasia hufanya hata wajinga kuwa viongozi"