MASHIRIKISHO YA FILAMU, SANAA ZA MAONESHO NA UFUNDI TANZANIA WA KUTANA NA MWENEZI CCM TAIFA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka (Leo) Ijumaa 4 Machi, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Marais wa Mashirikisho matatu ya Filamu, Sanaa na Ufundi Tanzania pamoja na wazalishaji wa (Bongo Movie) ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
Pamoja na Mambo mengine Mashirikisho hayo yamesema yanafurahishwa na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo tasnia zao zimeanza kunufaika na kazi zao ndani ya kipindi kifupi cha mwaka mmoja wa uongozi wake.
Viongozi walioshiriki mazungumzo hayo kwa niaba ya wenzao ni pamoja na Elia David Mjata (Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania,) Cynthia Patrick Henjewele (Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania, Adrian Nyangamalle Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Aziz Mohamed Ahmed mzalishaji wa Tamthilia ya Huba pamoja na Msanii wa filamu za kitanzania Simon J Mwapagata.
#ChamaImara
#KazIndelea