Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Kituko kingine kimeibuka hapo kenya kwa kudhamiria kufanya sensa ya wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao (mashoga) ili kupunguza maambukizo ya ukimwi! Hapa tanzania vipi haya ma-shangazi nayo yahesabiwe au vipi duh lakini ni aibu sanaaa....