Mashoga wa JF.

nimesoma thread nzima..and I feel sort for u.omba mungu atakusaidia coz umeonyesha nia ya kutaka kusaidiwa.gud luck
 
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii tulioko jf tungependa tuwafahamu!

Sijui umewaza nini?
 
Sijui umewaza nini?

Kama binadamu ninayeishi nakuona mambo mbali mbali najua kwenye jamii zetu,mitandao kama hii yakijamii ipo kila pembe ya dunia nafahamu uwezi kukosa vitu kama hivi!
 
Hapa kuna uwezekano watu wakashitakiwa maana sijui hapo kati kuna majina yametajwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…