Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Mashoga ni binadam kama binadamu yeyote hivyo lazima awe na mwonekano wa kiume sasa kwa kasi tunayoenda nayo wanakamatwa na kustakiwa ombi langu kwa magereza wasiwachanganye na marijali kwani itakuwa sio jela bali ni sodoma na gomora.
Umeshajiuliza kuwa endapo tu mtu mwenye marind.a na misimamo yake akiingia jela kama lelemama wanampindua sasa je mkiwapelekea wabakaji, wauaji, hawa mashoga kutakalika kweli?
Some time we need to think out of the box.