Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

Mkuu jifunze kufanya yako maisha ni huru na kla mtu anamaamuzi yake na nn anataka kufanya
Ushauri wangu jenga ukuta na familia yako waelimishe watoto wako mazala ya ushoga na wape malezi bora km familia
Mambo ya kutaka kla mtu aishi km unavyotaka au inavyotaka biblia, quraani ni upuuzi na ujinga ktk dunia ya sasa
 
Umekua mchina[emoji23][emoji23]. Vitabu vyenu vya dini vina sapoti Sana Mambo mabaya. Kama ilo neno lako ,mtu fulan ndo awe wakwanza kumrushia jiwe. Hacheni hushoga[emoji57][emoji57]
Unapenda kutatuliwa marinda dah!!!,Lkn Mimi huko siko,katafute dume la kukurarua.
 
Yaani toto langu liwe shoga aisee Ntauaaa
 
Mkuu leta mtaro huo tufukue
 
Kwamba hii ndo dhambi kubwa kuliko zote au?

Hiyo adhabu ya kifo tu kwa wauwaji ni mjadala wa dunia nzima kwa sasa na hapa nazungumzia wauwaji unadhani ni sawa kutoa adhabu ya kifo kwa kosa lingine lolote?

Kuongeza ukali wa sheria hauzifanyi jamii kuwa na maadili bora.Maadili yanatakiwa yawe addressed kiundani katika ngazi ya familia na taasisi za kidini zizungumzie hili kwa upana wake katika kila hatua za ukuaji na mafunzo.

Nowadays kuna wimbi kubwa sana la watu wanaodai hakuna Mungu na humu JF wapo wengi sana.Sasa kama watu wanaclaim hakuna Mungu tunaona ushoga kuwa si sahihi kwa kutumia vigezo vipi?what give us that authority of deciding what is right and what is wrong?

I am a religious person,i despise ushoga but i dont believe death penalty is fair.Ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine Mungu aachiwe mwenyewe mamlaka ya kutoa ultmate punishment.The issue about ushoga is that people to bad things on their own bodies just like smoking cigarette or drinking alcohol on the other hand other crimes involves people doing bad things on others and that should be given more attention than this issue.

I repeat i don't approve ushoga as much as anyone but i dont support death penalty on anyone who doesnt harm anyone else.
 
Huko nyuma nilikuwa mlevi kupindukia,Kuna wakati kwenye harakati zangu za gambe nilishakutana na wadada walikataa kata kata niwaingilie kwenye utaratibu wa kawaida,, ,,.......wlalinilazimisha nifanye huo ufidhuli,Mimi binafsi nahisi Kama Kuna harufu ya mambo ya kishirikina kwenye haya mambo.wengine wanaiga Ila nadhani Kuna Siri nzito ndani ya pazie.Kwa Nini baadhi ya watu wanawalazimisha watu wawafanyie huo upuuzi ?
 
Kweli we Bigi muelevu
 
Af hili jamaa linaonekana nilifilaji kabisa [emoji34]
 
Tazama orodha ya wote wanaostahili kifo hapa ila Mungu amewapa rehema wajirekebishe huenda mtoa mada upo.
 
Wakati China inajiandaa kubeba FIFA World Cup mwaka 2050 kutakuwa na 30 kwa 30...na siyo 50 kwa 50 tena maana Mashoga wanazalishwa kama Mfumuko wa Bei Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…