Mashoga wengi huwa wanakua wameamua tu wenyewe kututunuku .....................

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,351
Kuna sehemu nilikua nimetulia baada ya shughuli zangu za kila siku sasa hiyo sehemu niliyokua
nimepozi akapita jamaa mmoja amejaa vizuri yaani umbo la kiume lililojengeka lakini cha kushangaza
wale jamaa niliokua nao mmoja akasema huyu jamaa ni bwabwa kumwita kuanza kumsemesha
kweli akawa na pozi za kike akasema anafuata gari yake gereji atarudi kweli
akapita na gari yake anaendesha
nikajiuliza kwamba huyu jamaa watu kisogoni kama
kawa au utani tena nikaambiwa ukipiga unapewa na
fedha

nikaomba mungu atusaidie,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
wasilisha............
 
kwa hiyo kama mtu akitunukiwa PhD haramu wale wanaomtunuku unawaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…