Waheshimiwa wakuu wanapojisahau hadi kufikia kuvumbua makosa kila leo, unaweza kuwa ni mwendelezo ambao si mbaya sana kwani hata pale Zimbabwe ilikuwa pole pole hadi uvumilivu ukawashinda makamanda.
Kwa makosa kama haya ya kusumbua amani za watukuka watakao salimika ni kina haraka haraka na sana sana akina bwana yule na wale wanaonunulika:
Musician arrested for 'disturbing' Museveni's peace