Mashtaka ya "Obstruction of Justice"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Hivi katika sheria zetu tunayo mashtaka kama haya au yanayofanana na haya na nini kinahitajika ili kuyathibitisha?
 
Yapo kwa ujumla yanapatikana kati ya kifungu 102 na 114 A cha kanuni ya adhabu sheria namba 16 ya sheria za Tanzania ( Penal Code), sio rahisi sasa hivi kusema hiyo obstruction of justice inaangukia kati ya vifungu hivi.

If you may come up openly on the particulars.
 
Nazungumzia kwa mfano, Polisi au chombo chenye mamlaka ya kuchunguza jambo fulani kinapowekewa zengwe kama kufichwa au kudanganywa au kuzugwa ili kutopata ukweli au hata kuzuiwa physically.
 
Nazungumzia kwa mfano, Polisi au chombo chenye mamlaka ya kuchunguza jambo fulani kinapowekewa zengwe kama kufichwa au kudanganywa au kuzugwa ili kutopata ukweli au hata kuzuiwa physically.

Sheria haiko wazi sana kwenye hilo, ila unaweza kuomba judicial review na kuomba order ya mandamus ambayo ni amri inayolazimisha chombo cha umma kuperform duty yake pale wanapopuuza na au kuzembea kuperfom duty hiyo. Wadaiwa watakuwa AG katibu mkuu wa wizara husika kwa mfano mambo ya ndani na mdaiwa wa tatu atakuwa Inspekta Jenerali wa polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…