Hujui lolote ndio maana unakurupuka! Kuingilia usio yajua. Je ni kikupa proof kua ali rearchiwa na Police ya Ubelgij huko nyumbani brussels? Documents,chats zote zipo,na alipopewa onyoo kua akiendelea atashitakiwa ndio aka kimbilia USA San antonio. Na safari ya ya kukamatwa alitoka USA handi Dubai mwenywe kwa kuamini kua anaenda Burundi kwenye hizo harakati.FBI na ubelgiji wapi na wapi ndugu???
Yani ndio hivyo hujakosea! Umarufu!Rusesabagina alilewa sifa za kujibambikia,na akafikiri anaweza kuingia rwanda kwa nguvu,sasa kagonga mwamba pole zake
Yani wataingoja hiyo sana tena sana!! Na kingine issue za kijeshi kwenda kwenye misitu ziliisha myaka hiyooo ya 1994! Kwa sasa ni Satellite tu! Ukaingizwa nchini ukijua unaenda Burundi!π€£Tangu 1994 mpk leo story Ni hizo hizo za he won't last longer.Sasa sijui longer maana yake Ni miaka mingapi maana jamaa yupo tu anadunda.
Hivi Tanzania tukiwa na Mtu alieanzìsha jeshi na kuwaita vijana wajiunge Serkali itafanyaje? Mbowe kudai katibu tu tumpa ugaidi,je asema kwa kinywa chake kuwaita vijana wajiunge jeshi na akakamatwa au mtu yoyote si ni kunyongwa? Kwangu myaka 25 tena hapo ni kwa kua mabeberu waliingilia hili swala ange pewa maisha tu.Rusesabagina alilubuniwa na kukamatwa kizembe sana!! Yaani MTU anajiingiza kwenye harakati za kisiasa akiwa uhamishoni - badala ya kuendelea kubaki Merikani ambako angekuwa na uhakika wa usalama wake dhidi ya majasusi wa PK, yeye anakwenda kufanya matanuzi Dubai ambako ni just a stone throw from Afrika Continent specifically Rwanda, yaani hakushtuka kwamba maafisa wa usalama wa Serikali ya Kagame ni rahisi ku-jipenyeza Dubai na kufanya mambo yao bila ya kushtukiwa - Rusesabagina wala hilo hakulifikiria wala hakulishtukia!! - kaletewa a private jet na kulubuniwa kuipanda without questions asked, kapanda tu kama zuzu akiwa na imani kwamba anakwenda sijui Central Africa kukutana na wapinzani/rebels wenzake - kichekesho kabisa!
Mambo yenyewe kama ndio kirahisi vile basi PK atawatia mbaroni maadui wake wote in no time, ndio maana PK alipo hojiwa imekuwaje Rusesabagina akajikuta anatuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Kigali - PK simply smiled na kusema alijileta mwenyewe!!!
One thing l like about you is that you hate hiding your stupidity and madness.Safi Sana,Ila wamemuonea huruma Sana alitakiwa apigwe kifungo Cha Maisha kabisa.
hivi wewe ni kichaa.??Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.
Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.
Basic evidence ziko hapa[emoji116]
View attachment 1947596
Hata Sadam alikuwa hivyohivyoTangu 1994 mpk leo story Ni hizo hizo za he won't last longer.Sasa sijui longer maana yake Ni miaka mingapi maana jamaa yupo tu anadunda.
Wait and seeTangu 1994 mpk leo story Ni hizo hizo za he won't last longer.Sasa sijui longer maana yake Ni miaka mingapi maana jamaa yupo tu anadunda.
ππ kauli za kinyonge.Hata Sadam alikuwa hivyohivyo
Uongo mtupu,jamaa alikua anachukua hela za watu ndio anawahifadhi ambao hawana anawatoa hotelini wanaenda kupigwa mapanga na interahamwe hapo nje ya geti la hoteli,soma kitabu kinaitwa INSIDE THE HOTEL RWANDA mashuhuda waliokua humo hotelini wanaelezea kilichokua kinatokea ndani ya hotel,hata Gen. Dallaire aliyekua boss wa majeshi ya UN Rwanda wkt wanachinjana alisema hii story ya kuokoa watu hotelini Ni uongo mtupu.hivi wewe ni kichaa.??
unasema tume copy kwa mabeberu, hao FBI na Belgium sio mabeberu.??
unasema watu walilipia kuhifadhiwa na Paul hotelini, hao watu si wangejitokeza waseme kipindi ambacho Paul anapewa sifa zote hizo.??
mtu mmoja alijitolea kuhifadhi watu wasichinjwe kitu ambacho hata kanisa katoriki lilishindwa we unaleta nyege zako hapa..
Haya na hawa walifadhiri ugaidi gani.?????????View attachment 1949399View attachment 1949400
View attachment 1949402View attachment 1949403
i would rather to pass than to argue.U like my Pretty Huge Dic.k(Ph.D) ππ
i rest my case. you can reread my previous comment for more details.Yo're just a toothless bitch who knows how to give Superby BJ.ππ
Spunk awaiting for u,couger.i rest my case. you can reread my previous comment for more details.
πππ Nyamwasa sijui ana hali gani huko.Yani wataingoja hiyo sana tena sana!! Na kingine issue za kijeshi kwenda kwenye misitu ziliisha myaka hiyooo ya 1994! Kwa sasa ni Satellite tu! Ukaingizwa nchini ukijua unaenda Burundi!π€£
ππ Ndio aende kua rais wa wafungwa Kama vipi si anapenda urais Sana.Watu wengi wamemjua huyu jamaa kupitia media za mabeberu,kisa eti ni fiction movie. Case yake haihusiani na movie zake na wazungu wake. Ila aliyoyafanya after getting money akaona sasa anzishi jeshi lake eti aje kuwa Rais.
I'm running out of words don't expect any comment from me. what suprises me is the boldness you have to defend your whorish life.Spunk awaiting for u,couger.
Wachaga wanaita mbesa,sisi tunaita mawe waswahili wanaita pesa hata jesus alisalitiwa kwa vipande vya dinali.......ila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Inasemekana PAKA alimmaliza Fred Rwigema pia ili atwae madaraka ya chamaPole sana kwa kuhangaika sana kumsafisha PAKA kwa propaganda mfu alizochapisha na labda kuwagawia mwenyewe.
PAKA ametapakaa DAMU ya hata ya waliowahi kuwa washikaji wake. Ili kutisha na kujihami, anaandama na kusakama kila mtu hata wanaojitokeza kugombea urais. Hataki kabisa kusikia mawazo tofauti/mbadala kutoka kwa yeyote. Ni dhalimu asie na soni kabisa.
PAKA ndie alikuwa chanzo cha balaa ya mauaji ya kimbari , uchunguzi umeonyesha kuwa ndie alifyatua kombora lililoangusha ndege iliyokuwa imembeba Rais Habyarimana. Wahutu nao kwa chuki walizo kuwa nazo kati yao kwa muda mrefu wakainuka kulipa kisasi.
Gotta Splash yo mouth with heavy protein πππI'm running out of words don't expect any comment from me. what suprises me is the boldness you have to defend your whorish life.
Well, transgenders generally find it hard to accept that there could be a man out there who doesn't want them.
Inasemekana,ilisikika,wanasemaga....maneno meeeengi ππππInasemekana PAKA alimmaliza Fred Rwigema pia ili atwae madaraka ya chama