Yeye si aliunda kundi la waasi na alikubali mwenyewe waliua watu, hapo anaonewa vipi, hakuna serikali duniani inaweza kukubali huo upuuzi, usalama wa watu ni priority ya nchi yeyote Duniani....mengine ni propaganda tu.
Yeye si aliunda kundi la waasi na alikubali mwenyewe waliua watu, hapo anaonewa vipi, hakuna serikali duniani inaweza kukubali huo upuuzi, usalama wa watu ni priority ya nchi yeyote Duniani....mengine ni propaganda tu.
Unadhani wanao msupport huyu boya hawajui Kwamba alikua ana jeshi lake la waasi?wanajua Sana tu Ila Ni vile tu wao wanadhani fuvu kazi take Ni kushikilia meno.
kitu hujajua ni kwamba rwanda ina vitengo vikuu viwili
1. kitengo cha wauwaji ambacho kazi yao ni kuwasaka na kuwaua popote walipo duniani au kuwaweka vizuizini wale wanaompinga PAKA
2. kitengo cha propaganda: hiki kazi yake ni kuifanya rwanda ijulikane kimataifa kama nchi safi yenye amani, uchumi unaokua kwa kasi na yenye umoja baina ya hutu na tusi na kuonesha kwamba PAKA ndio kafanya hii kazi, ila kiukweli ni kwamba rwanda ni nchi masikini sana, ukweli ni kwamba tusi na hutu hawawezi kua na colabo maisha yao yote, sumu kali sana iliwekwa baina yao, kila mmoja anatamani awe juu ya mwenzake, kwa hiyo amani ya kudumu haiwezi kuwepo kwenye hiyo nchi.. ni suala la muda tu
Nadhani ulikwisha kulipata jibu kuhusu Filamu na huyo mtu Paulo Rusesabagina.
Niongezee kidogo tu ni kwamba, watunzi na waigizaji wa movie hiyo ni waMarekani, lakini kisa chote na mkasa mzima kuhusu kuhifadhi na kufadhili wakimbizi wa mauwaji ya haliki mwaka 1994 kiuhalisia alifanya huyo Paulo Rusesabagina, ndiyo maana anaitwa shujaa.
Na hao waigizaji wa holywood walikicheza tu kisa chake.