Kutokana na mashua tatu zilizopo kushindwa kumaliza/kupunguza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI uko umuhimu wa kuongeza mashua nyingine itayofikia lengo.
Mashua tatu zilishoshindwa kutoa suluhisho ni;
1. Kutoshiriki tendo la ndoa kabisa kabla na nje ya ndoa.
2. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu.
3. Kutumia kondom
Kwa kuwa VVU/UKIMWI ni janga la kimataifa upo umuhimu wa jamii kuwa na mawazo shirikishi (participatory approach) katika kutokomeza janga hili badala ya taasisi husika kufanya kazi binafsi katika kutafuta sululu. Ukiwa kama mdau (stakeholder) unaona ni njia ipi itumike kama mashua ya nne katika vita dhidi ya VVU/UKIMWI ukitilia manani maswala ya MASTURBATION na LESBIANISM yamekuwa yakipingwa vikali na jumuiya za kidini?