Habari Wana JF,
Naomba msaada wa kujua namna gani naweza kupata Mashudu mazuri ya Alizeti kwa Bei nzuri.
Na pia soko lake zaidi hapa Dar es salaam kwa Wenye viwanda wanaotengeza .chakula cha Mifugo.
Nahitaji kujua pia kwa hawa wenye viwanda wanahitaji mashudu ya aina gani hasa,Mimi ni mgeni kwenye hii biashara natamani kujua zaidi.
Natanguliza shukrani.Ahsanteni.Ningefurahi na kupata mawasiliano pia.