Mashudu meusi yapo yanapatikana wingi hapa hapa kiwandani tunapatikana mwanza namikoani pia tunatuma namba 0718203661Habari Wana JF,
Naomba msaada wa kujua namna gani naweza kupata Mashudu mazuri ya Alizeti kwa Bei nzuri.
Na pia soko lake zaidi hapa Dar es salaam kwa Wenye viwanda wanaotengeza .chakula cha Mifugo.
Nahitaji kujua pia kwa hawa wenye viwanda wanahitaji mashudu ya aina gani hasa,Mimi ni mgeni kwenye hii biashara natamani kujua zaidi.
Natanguliza shukrani.Ahsanteni.Ningefurahi na kupata mawasiliano pia.
Tani moja mnaiuzaje?Mashudu meusi yapo yanapatikana wingi hapa hapa kiwandani tunapatikana mwanza namikoani pia tunatuma namba 0718203661
Sh 500,000/Tani moja mnaiuzaje?