Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 119
- 457
Mkuu wa wilaya ya Same anasema madereva waongeze umakini hasa kipindi hiki cha sikukuu na anaendelea kusema madereva huwa wanajisahau wakiwa barabarani..
NI kama anataka kumpiga Mkurugenzi mawe ila Anaogopa asije haribu, shuhuda mwingine anasema madereva hawana umakini hasa wakiwa ni ukoo wa Kizimkazi..
.
Any way mimi niko hapa kukumbusha kwamba rate ya ajali kwa sasa iko juu Kwa January - Julai 2024 jeshi la polisi linasema jumla ya watu 453 wameondoka..
.
So taarifa za Julai to December bado hazijawa shared but nafikiri itashoot. According to polisi wa usalama barabarani wanasema chanzo kikubwa ni uvunjaji wa sheria..
.
Then inakuja matumizi ya vilevi, miundo mbinu mibovu + ubora wa chini wa chombo husika, Kama unakumbuka September 16 Kuna Fuso ilikatika Propeler shaft ikachinja raia 12 wakielekea mnadani.
.
Turudi kwako sasa najua ni mwisho wa mwaka umefika na unataka kutumia machine yako kwenda mkoani, NIkukumbushe tu kwenye safari huwa kuna ligi zisizo rasmi YANI ligi za kimya kimya.
.
Watu wa Arusha huwa wanasema ukimpita unaamsha wadudu Yani anaanza kukutafuta akupite. Usiingie kwenye mkenge wa Ligi utakuja kufa bure kumbe unashindana na gari ya magazeti.
.
Na ligi zinafanya unapunguza umakini, badala ya ku concentrate road wewe unakomaa na aliyekupita. Hafu ndo unakuta imekupita IST wewe una Prado lako unaona dharau hizi unaanza kumtafuta.
.
Kumbe mwenzako ni Dereva wa gari YA magazeti leo ana gari yake binafsi atakutoa kamasi na mu prado wako. Pia angalia chombo chako kuna gari zikifika 120++ unaona kama chuma inataka kupata kifafa hivi..
.
Ukiona hivi kuwa mpole, kama dereva ni muhimu kujua gari lako uwezo wake wa speed na stability kwa road, Unaweza jiwekea speed limit kwamba kwa hii gari ikifika speed flani basi inatosha au ukichoka unapumzika..
Tena kama ni mtu wa town trip na ndo umegusa highway mara ya kwanza machine number E ukigusa hii hapa, Hapa ndo uwe makini sana maana gari nazo huwa zinadanganya na zinaweza kukupa comfortability kwenye hatari..
.
Kuwa tu mpole kikubwa ufike Habari za kusema umetumia masaa 4 Dar Moshi ili usifiwe zitakuponza na utawaponza wengine, Endesha gari kwa upole Pesa + cheo usivichanganye na udereva vinaweza kupa ego flani ukajikuta Paul Walker kumbe ni Njuka tu..
.
Na kama ni mtu mnene wa majukumu mengi tafuta dereva, kuendesha gari kunachosha + kunasababisha uchovu. Nikuiibie siri overtaking ndo huwa zinachinja watu hasa kwenye blind spot ila bado unataka kupita..
.
Au unaona mwenzako ametoka ana overtake wewe hujaona mbele yake wala nyuma yako na wewe unaliunga bila tahadhari, tena ukijikuta una gari flani nzuri nzuri basi ndo uvumilivu ni zero ila unatoka tu chuma hii hapa usoni..
.
Na highway gari zinafunguka so unaweza hisi hamna gari ila in a second umeovertake tu chuma hii hapa usoni ndo unawaza mawazo 1000 ndani ya Sekunde moja mara pap uko kwa baba tayari huku watu wanaweka matenti na majiko ya ubwabwa..
.
Anyway nikutakie safari njema na kama dereva Kumbuka tool kit vitu kama spanner number 10, plies, screw driver, torch etc ukipata na panga hata kama la mzungu ni safi zaidi..
.
Na zile Habari za nikishtua ndo naendesha vizuri achana nazo, zinakufanya unapunguza umakini na unakua na confidence kama ya Bongozozo..
.
Fata sheria za barabarani na alama kama mtoto mdogo hasa sehemu za makazi na mifugo, Maana kuna maeno unaweza kuwa unamwaga moto mara punda huyu hapa..
.
Anyway, kuna wazoefu pia kwa road mnaweza share hints zaidi kwa faida ya wengine, Na kama unahitaji kuagiza gari kujua bei njoo tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand etc.
.
Dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi , Pia tuna uzoefu wa kuspot gari nzuri kwenye sites za Japan gari zenye viwango na grades nzuri maana tunashinda mtumbani kila siku..
.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako, Simply njoo WhatsApp 0714547598 au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri..
.
Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare kwa ajili ya wengine, Na kama hu-jafollow kurasa zetu za jamii follow sasa [samatimemagari] ili next time usipitwe na madini.
.
Pia kama unategemea kupata gari mbeleni save this number [0714547598 Samatime Magari]. then share jina lako na unakopatikana tutakusave pia na utapata huduma za ushauri kwa karibu zaidi.
.
Asante
Samatime Magari
0714547598