Ligi ya Mashujaa mtaa kwa mtaa mkoani Lindi iyozinduliwa hapo juzi tarehe moja na mkuu Wa wilaya ya kilwa ndugu Christopher ngubuyagai imeendelea hapo Jana kwa kuheza michezo kadhaa ambampo matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
Manchester united kutoka njinjo ilipiga kipigo cha paka mwizi watoto Wa mjini kilwa youth kutoka masoko wakati huo huo timu kutoka njia nne four ways fc ikiibuka na magoli manne dhidi ya Mashujaa fc