Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kwakweli ishomile wametulizwa vizuri tuMashujaa ngo ni hatari kwakweri,wamemupiga muhaya goli mbili ngo kwa sifuri.
Nilitaka niiue Bora sikubetiTimu ya soka ya Mashujaa FC ya mkoani Kigoma iliyopanda daraja msimu wa 2022/2023 kutoka Championship waianza safari yao kwa kuwashushia...
Too OverratedMashujaa hii inanikumbusha Chelsea ya Jose Mourinho...hawavutii kiuchezaji, wanakuacha ucheze then ukijichanganya kidogo tu imekula kwako maana wana wachezaji wenye speed na wanaocheza Jihad, pasi mbili tu wako golini kwako!
Tukiweka mahaba na chuki pembeni hawa Mashujaa wanastahili sifa. Waliwahi kumtoa Simba FA, wamemshusha Mbeya City na leo wameanza kwa ushindi mzuri tu dhidi ya Kagera, ulitaka tusemeje!? Tuwape sifa zao mzee na wala hatuwa overrateToo Overrated
Wameimba wimbo wa kivumbi na jasho kuliko hata yanga wavyoimba!!Nilichopenda vibe lao jinsi wanavyoshangilia kweli waha wameamua.
Tukiweka mahaba na chuki pembeni hawa Mashujaa wanastahili sifa. Waliwahi kumtoa Simba FA, wamemshusha Mbeya City na leo wameanza kwa ushindi mzuri tu dhidi ya Kagera, ulitaka tusemeje!? Tuwape sifa zao mzee na wala hatuwa overrate
na wasiwasi wewe utakuwa kanali kweli maana ile timu si yenu ileTukiweka mahaba na chuki pembeni hawa Mashujaa wanastahili sifa. Waliwahi kumtoa Simba FA, wamemshusha Mbeya City na leo wameanza kwa ushindi mzuri tu dhidi ya Kagera, ulitaka tusemeje!? Tuwape sifa zao mzee na wala hatuwa overrate
KUMBE VUVUZELA ZIAHARIBU LADHA YA MPIRA!Timu ya soka ya Mashujaa FC ya mkoani Kigoma iliyopanda daraja msimu wa 2022/2023 kutoka Championship waianza safari yao kwa kuwashushia kipigo kizito Kagera Sugar ndani ya Machinjio yao ya LAKE TANGANYIKA kwa magoli mawili kwa nunge.
FT'
Mashujaa FC 2 - 0 Kagera Sugar
.
.
.
.
.
#solomatv_updates View attachment 2719106