Mashujaa FC yanasa saini ya Adam Adam

Mashujaa FC yanasa saini ya Adam Adam

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
IMG_7983.jpeg


Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Ihefu ya Ubaruku mkoani Mbeya Adam Adam aangukia mikononi mwa Mashujaa FC wa Kigoma.

Adam Adam alijiunga na Ihefu January 2023 na sasa ni mali ya Mashujaa waliopanda daraja msimu huu kutoka Championship baada ya kuwashusha daraja Mbeya City katika mchezo wa mtoano.
 
Waangalie.

Mashujaa Wana timu nzuri sana.

KIKUBWA ni kuwa MAKINI SANA na usajili wao .

Wasije wakaingiza MAMLUKI na magarasa.
 
Back
Top Bottom