Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Ihefu ya Ubaruku mkoani Mbeya Adam Adam aangukia mikononi mwa Mashujaa FC wa Kigoma.
Adam Adam alijiunga na Ihefu January 2023 na sasa ni mali ya Mashujaa waliopanda daraja msimu huu kutoka Championship baada ya kuwashusha daraja Mbeya City katika mchezo wa mtoano.