Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Soka mmecheza vizuri, mmeshinda Mechi ya ugenini dakika ya 87. Mnashangilia goli mnampiga kocha wa Mbeya City ngumi!! Hii Mechi refa akiivunja hapa kwamba Mbeya city hawana kocha kwenye benchi na maamuzi yakaja tofauti mtamlaumu Nani?
Huu upuuzi, ushamba uliopitiliza mlioonyesha Leo hauvumiliki Kwa jumuia ya wastaarabu.
Huu upuuzi, ushamba uliopitiliza mlioonyesha Leo hauvumiliki Kwa jumuia ya wastaarabu.