kwenye kutoa wanasoka bora kuwai kutokea Tanzania Kigoma unaikuta top 5.Watu wa kigoma na mpira wapi na wapi
Huna unalojua kuhisiana na soka...labda uongelee mpira wa peteWatu wa kigoma na mpira wapi na wapi
Kidao anatafuta ubunge wa Kigoma mjini au vijijini kazi mbichiio
KM Mkuu TFfKidao ndio nani?
KM Mkuu TFf
Walitukanda bao mwaka ule
#Sitawasahauu
Noo! Simba Vs MashujaaZile walitupiga 3:2 kule kwao kigoma?
Ooohhhhh mtoto wa Ujiji yule anataka ubunge sanaaaaaaHivi yule jamaa kumbe wa kigoma?
Ooohhhhh mtoto wa Ujiji yule anataka ubunge sanaaaaaa
Nani zaidi ya Edibily Jonas Lunyamila?kwenye kutoa wanasoka bora kuwai kutokea Tanzania Kigoma unaikuta top 5.
Tanga,Morogoro,Mwanza,Kigoma.
Package iyo hapo[emoji115] babake.
Hata Suleiman Matola"Veron"aujui katoka mkoa gani?,Je'Nteze John"Rungu"?Nani zaidi ya Edibily Jonas Lunyamila?