Mashujaa,,wanafanya huku wakiwa gizani,,wabeba lawama waliofungwa midomo

Mashujaa,,wanafanya huku wakiwa gizani,,wabeba lawama waliofungwa midomo

Aneel munawar

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
4,580
Reaction score
8,141
Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo hawatangazwi Wala kusifiwa😁😁😁.

Matukio matatu kati ya Mengi ya ukamanda wa makamanda...NILIYOYASIKIA


1:issue za kigaidi: ni miaka fulani kile kipindi cha mambo ya vuguvugu za kidini katika mkoa wa Tanga huyu ndugu wa mbali alitaitishwa na makamanda kwa kuonekana anafanya issue za kigaidi na pressure ikawa kubwa sana kutoka kwa raia kuwa jamaa wameonewa,,ila makamanda kama kawaida yao waliziba masikio ña jamaa alikuja kuachiwa baadae sana baada ya kufinyo cha haja,...Sasa yule jamaa kupitia kwa ndugu wa mbali alikiri wazi kuwa alikua anaelekea kwenye upotevu(NB:hili hakukiri mbele ya jamii iliyokua inaona ameonewa kwa sababu za kidini,,hii alikiri kwa watu wa karibu,,)..na Sasa hata ndevu zikichomoza anazitoa akikumbuka
Kifinyo cha makamanda.

2:Ugaidi no 2: (rest in peace halima bin seif)....Huyu alikua ni mwana lakini ni rafiki wa rafiki tulieshibana...huyu mwana inasemekana alikua anapiga izo mbanga,,,Sasa akaja kufa kwa ajali...ok..Sasa inasemekana kua ilo lilikua gundu kwa kujihusisha na hizo issue,,na muhuni wake wa karibu kabisa akasema inaweza kua kweli maana jamas alikua anatumià FACEBOOK TU kama means of communication... probably mwanetu aliingia kubaya..by the way pia pesa aliipata nyingi from nowhere.

3:Majambazi..hakuna jambazi inasemekana na akasikika kwa jamii alafu asiende jela ,,au galilaya kwake bwana yesu kristo...(Nasikia Kuna sehemu inaitwa SUA wanapaogopa sana) Sasa sijui kwanini wakati Kila mwaka wanafunzi wanadahiliwa kwenda hapo na kutunukiwa degree.

WANAODHARAU MAKAMANDA NI WATU WA AINA HII

1 Mamy this day that ambao hawajapitia kwenye misuko suko ya kimaisha na mbilinge za huku na Kule..Hawa Kila kitu kimenyooka hivo harakati zao mara nyingi haziingiliani na makanda ... wanaishia kupishana nao barabarani na wale makamanda wa khaki wanachekeana nao na kuwachukukia kama wajomba zao

2 walioibiwa Tekno P3 na kutaka kesi zao ziwe kipaumbele...ingekua wale jamaa wanaruhusu raia kwenda kuona vipaumbele vyao vya kazi Kila siku kama ambavyo mahakama inaruhusu ,, basi watu wangewaheshimu..mtu kapotelewa na simu au kakabwa na kibaka mdogo anataka eti makamanda wafanye issue yake iwe kipaumbele KULIKO KESI YA UJAMBAZI AU MAUAJI....haaahaaaa unakua hauko serious.

WAKINA NANI UKIWAULIZA UTAJUA KUWA MAKAMANDA WANAKESHA NA KU SACRIFICE MAMBO MENGI KWA AJILI YA RAIA

1 MAJAMBAZI achana na wale wavuta bange chafu wa mtaani kwako..uliza majambazi eti hivi makamanda nchii hii wanafanya kazi kweli..? Ukiuliza swali Hili unaweza pigwa makofi kwakua ni sawa na kuuliza korosho mtwara..maana wao ndio huwa wanaona udogo wa nchii hii wakifanya matukio😁😁😁

2 MATAPELI hawa nao huwa wanajua nchii inavokua ndogo hii wakishafanya mbanga zao,hivo ukiwaambia kua makamanda hawafanyi kazi lazima wakushangae.



NB: Wakati unapiga(au unapigwa) bao tatu kwenye ndoa..nahisi makamanda huwa wanapiga Moja Ili kuwahi majukumu ya kukulinda wewe unaepiga bao tatu na huku ukiwachukulia poa.

MIMI NINGEKUA NINA MAMLAKA NCHI HII..INGEKUA KILA ANAEWACHUKULIA MAKAMANDA POA,, NAMLIPIA PASSPORT,NAULI NA HELA ZA KUTUMIA NA KUMPELEKA TOUR KWA LAZIMA EITHER JIMBO LA KIVU KASKAZINI,,,,MOGADISHU AU MSUMBIJI ILI AKAJIFUNZE KWA VITENDO KUWAHESHIMU WANAOMFANYA APIGE GOLI TATU TENA KWA STYLE ZOTE ANAZOZIJUA KWAKUA ANAJUA USALAMA UPO.
 
Back
Top Bottom