Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Gigi Buffon, Gattuso, Grosso, Canavaro, Camoranesi, Zambrota, Totti, Pirlo, Matterazi etc
Yaah ni kweli fabio alikuwa na kimo sio cha haja ila wachezaji wa kariba hiyo hutokea iwe beki au mshambuliaji kwa mfano wa beki hata hapa kwetu tulikuwa na Paul John Masanja na George magere masatu hawakuwa na vimo vikubwa ila waliweza kuyatekeleza majukumu yao vyema tu. Ukija washambuliaji pana Diego armando maradona akina aerial ortega huyu pamoja na ufupi wake nakumbuka game moja alimpiga kichwa Edwin van dersa pia omar husein (kelvin keegan wa Tanzanian )mohamed mmachinga hata keegan mwenyewe na Kenny daglish vimo vyao na mambo waliyoyafanya ni tofauti.Hapo wachezaji niliokuwa nawakubali ni Fransisco Totti " El Captano De la Roma ", Andrea Pirlo " The brain of Milan ", na Fabio Cannavaro ambaye mpaka sasa huwa najiuliza alifanikiwaje kucheza nafasi ya beki wa kati kwa mafanikio makubwa licha ya kuwa na kimo kifupi sana!
sawasawa mkuu, kwa washambuliaji ongeza na Sergio Kun AgueroYaah ni kweli fabio alikuwa na kimo sio cha haja ila wachezaji wa kariba hiyo hutokea iwe beki au mshambuliaji kwa mfano wa beki hata hapa kwetu tulikuwa na Paul John Masanja na George magere masatu hawakuwa na vimo vikubwa ila waliweza kuyatekeleza majukumu yao vyema tu. Ukija washambuliaji pana Diego armando maradona akina aerial ortega huyu pamoja na ufupi wake nakumbuka game moja alimpiga kichwa Edwin van dersa pia omar husein (kelvin keegan wa Tanzanian )mohamed mmachinga hata keegan mwenyewe na Kenny daglish vimo vyao na mambo waliyoyafanya ni tofauti.
Umenikumbusja King Keny.Yaah ni kweli fabio alikuwa na kimo sio cha haja ila wachezaji wa kariba hiyo hutokea iwe beki au mshambuliaji kwa mfano wa beki hata hapa kwetu tulikuwa na Paul John Masanja na George magere masatu hawakuwa na vimo vikubwa ila waliweza kuyatekeleza majukumu yao vyema tu. Ukija washambuliaji pana Diego armando maradona akina aerial ortega huyu pamoja na ufupi wake nakumbuka game moja alimpiga kichwa Edwin van dersa pia omar husein (kelvin keegan wa Tanzanian )mohamed mmachinga hata keegan mwenyewe na Kenny daglish vimo vyao na mambo waliyoyafanya ni tofauti.
Messi piasawasawa mkuu, kwa washambuliaji ongeza na Sergio Kun Aguero