ukiuliza utaambiwa shujaa nchi hii ni nyerere tu, na wamesahau kuwa kuna makamanda walipambana kabla yake ila historia inawafinya na kumpa shavu zaidi jamaa...
Shida serikali yetu baada ya mkoloni ilichukua falsafa ya mkoloni ya kufikiria kuwa yoyote anayeipinga serikali ni adui, kinjikitile na mkwawa ni mashujaa wa kwanza waliotufundisha kupingana na maovu, yawe yanatoka kwa Mkoloni mweupe au CCM.
Ni aibu kubwa sana kwetu kuwa hawa mashujaa hawatambuliki ipasavyo,tusingekuwa na hawa hata wakina Nyerere wasingekuwepo!