Masika imeanza...

Masika imeanza, mvua inanyesha tangu jana mfululizo usiku kucha hadi dakika hii bado inanyesha.
Shemeji yenu kaenda kwao kwa ajili ya Pasaka maisha yamekuwa magumu sana. Tupeane mbinu mbadala kuepuka upweke na mvua hizi
Mkuu na corona hii unamuacha vipi shemeji atembeetembee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…