Masikini akipata...

Ndo maisha yalivyo. Huwezi zuia watu kuongea mkuu
Huwezi kuzuia upo sahihi.
lakini kwenye upotoshwaji lazima tuzuie na tupinge!!!

hako ka binti kanaleta chai na chumvi nyingi

kwa.kweli,amenikwaza na kuniboa anapotaka kumusianisha ben na.mambo ya kichoko!

laiti kama.ningekuwa cmfahamu inside in and out ben hapo ningekaa kimyaa
lakini kwa mtu ambaye nafahamiana naye Kabla hajawa na lolote siwezi kuona upotoshwaji dhidi yake nikakaa kimya

mbona wakati analeta habari zake za kina majjizo na b12
nilikuwa kimya??
coz sikuwa nafahamu lolote

lakini kwa Hili la Ben BIG NOOO!!!!!

Na Kama ni kweli aweke wazi huyo boyfriend wake

AACHE KUWACHAFULIA WATU MAJINA KWA CHAI ZAKE ZA KIPUUZI
 

Sasa ushasikia mi Ndo warumi , mbea niliyetukuka, usiniaribie CV , umbea sijaanza Jana Mimi , na wambea huwa hatudanganyi hata kidogo , kama ya Mjini kaa kimya tukujuze, naona mjini umekuja juzi na Gari la nyanya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Eti kiki , mxieew umeambiwa mimi natka kupost matangazo humu nipate pesa ? Kiki hyo ningeitaka ningeipata Toka Mwaka 2012, tulia nikujuze ya mjini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Ngoja nije na file lake, tena bila code , kweupeee Ndo ujue kuwa huu mji mzito

Halafu uko kumjua uko vepee? Umekua Mama ake mzazi wewe ? Mama yake mwenyewe hayajui ya mwanae sembuse wewe ? , tena utulie

Halafu hyo ni code , hakuna aliyetajwa Jina , mbona umeanza kujishuku? Kulikoni ? Inauma eeh ? Tena usimuaribie mwenzio , bora ukae kimya tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Stupidity..
 
aha kumbe Ni umbeya?
hapo sawa maaana c kila umbeya huwa Ni kweli!

endelea kuleta chai zako
 
Eti kiki , mxieew umeambiwa mimi natka kupost matangazo humu nipate pesa ? Kiki hyo ningeitaka ningeipata Toka Mwaka 2012, tulia nikujuze ya mjini


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sibishanagi na Wanawake hiyo Ni principle yangu

kwa,kuwa umesema Ni umbeya endelea kuwaokota wenzako!

Ni kazi pekee iliyosalia ya wanawake waliokata tamaa na maisha!

mwanamke mwenye akili na maisha yake,HAWEZI shinda kufuatilia maisha ya watu na kutunga habari!

have a nice job
 

Wewe ambaye sie mbea huku umefuata nn baba? , chezeya kupenda umbea mxieeew , mchawi mkubwa na mbea mkubwa wewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

viipi nae pia anaingia kwenye list ya kutanuliwa marinda...
 
Hahaaa ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu ananitekenya anataka nianze kuyamwaga na yasioandikika humu. Akae tu kimya.

Huku kuna watu wazima zaidi ya maelfu, naanzaje kudanganya watu wote Hao , isitoshe kuna wanaojua kila kitu ninachopost, ningekua muongo zaman ningepotea, Ila mbea Mimi najiamini, waje hapa wakanushe niwape full data hadharani mxieew


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawakujui warumi haoo!!!!nakuaminia binamuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…