Kama ni kichwa aonyeshe ukichwa wake nje ya bungeHuyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.
Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.
Lkn akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.
Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.
Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.
Kama umri unamruhusu basi bado ana nafasi huko mbele ya safari. Ajipe moyo tu.Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.
Yeah! kama ni kichwa kweli,apambane nje ya ubunge.Kama ni kichwa aonyeshe ukichwa wake nje ya bunge
Siasa za Bukoba wanazijua wenyewe aisee ila Kagasheki aliziwezaAliyemponza ni Nape kwani siku ile akiwa Kashai alisemaje?Sema kwa CCM Balozi ndiye alikuwa na angalau ukiacha Rwakatare(kwa wabunge ambao nimewaona kwa macho yangu)
Cheo ni dhamana.Nicheka sana mkuu, ukiwa mjengoni unakuwa mjanja sana lkn ebu toka nje ndiyo madhaifu yako yataonekana
Kagasheki alikuwa yupo vizuri.Unadhani angeweza kumtoa Rwakatare kizembe.Siasa za Bukoba wanazijua wenyewe aisee ila Kagasheki aliziweza
Bado ana nafasi ya kwenda kulima Ndizi bukoba na mawese.Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.
Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.
Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.
Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.
Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.
View attachment 3423771
Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.
Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.
Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.
Leo hii masikini uteuzi ameutazamia kwenye luninga na wauza kahawa na tangawizi pale Nyakanyasi.
Makundi yamezima ndoto zake wakati umri wake bado unamruhusu.
View attachment 3423771
Au akapige uwinga kariakooBado ana nafasi ya kwenda kulima Ndizi bukoba na mawese.
Ha ha ha kubeba zege au kazi gani?Aje Bukoba Apate Kazi Ya Kujenga Daraja Hapa Mjini Bado Halijaisha
Lkn watu bado hatujifunziCheo ni dhamana.
Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja miaka ya zamani alitamba sana kwa hili na lile.
Mara paap akatemwa na shule kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha.
Kuna siku nikamwona pale karibu na Twiga Motel akitembea viatu vimeisha soli na makabrasha mkononi, weye acha tu imani ikaiingia nikampa offer ya msosi ambayo alinishukuru kama mdogo wangu licha ya kwamba mimi namwamkia.
Yaani Headmaster leo kawa kama lofa hana ile status.