Masikini Byabato ametupwa kabisa Bukoba aliponzwa na makundi ndani ya CCM

Subscribed
 
Kwahiyo ubunge kwa manufaa ya nani kwanza?
 
Mwanangu Masele shinyanga amepita niaze kula na mimi mema ya nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aje Chadema kama kwel n great thinker tutamuona make bk mjin ni jimbo la upinzan bila jiwe la Chato chief kalumna ndo angekuwa mbunge
 
Wanagawana majimbo kula keki ya Taifa #NoReformsNoElection
 
wanaotakiwa na watawala ni hawa;
1. uwe mtu wa kusifia kila kitu cha ccm hata kama ni UOVU wewe sifia tu!
2. Uwe ni mtu wa kushangilia kila hoja na usihoji badala yake wewe iunge mkono tu!
3. Uwe kila mara unapopata nafasi ya kuongea bungeni au popote uwe unasifia mkuu na kusema ndie kafanya!
4. Uwe hodari wa kusema ndiooooooo na pia hodari wa kupiga makofi bungeni!
 
Aaaah huyu wahaya hawajui amuulize katalaiya na kagasheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…