Masikini Chuo Kikuu Huria (TZ) - Open University of Tanzania (OUT)

Rangi 2

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
353
Reaction score
264
1. Kwa miezi minane sasa CKHT hakijapewa fungu lake la OC kutoka serikalini (HATA SENTI TANO!)
Hali hii imesababisha shughuli za kawaida za chuo kukwama.
(Makamu Mkuu wa Chuo akiongea na wanachuo - Dar)

2. Teaching Practice ambayo ilikuwa ianze sasa imeahirishwa hadi hapo itakapotangazwa - kutokana na ukata unaokikabiri chuo!
(DVC-Academic- Prof. Bisanda- OUT Website)

Kwa serikali: Serikali haikitendei haki CKHT hata kidogo...

Kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi (OUTSO): Ni wakati wa kuchukua hatua sasa....

Nawasilisha
 
watupe tu digrii zetu hela zikija watasoma watakaojiunga mwakani
 
nchi ishauzwa
1. Kwa miezi minane sasa CKHT hakijapewa fungu lake la OC kutoka serikalini (HATA SENTI TANO!)
Hali hii imesababisha shughuli za kawaida za chuo kukwama.
(Makamu Mkuu wa Chuo akiongea na wanachuo - Dar)

2. Teaching Practice ambayo ilikuwa ianze sasa imeahirishwa hadi hapo itakapotangazwa - kutokana na ukata unaokikabiri chuo!
(DVC-Academic- Prof. Bisanda- OUT Website)

Kwa serikali: Serikali haikitendei haki CKHT hata kidogo...

Kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi (OUTSO): Ni wakati wa kuchukua hatua sasa....

Nawasilisha
 
Ila pesa a kuwaweka mawaziri hotelini zipo, this is disgusting! Sasa yeye DVC anachukua hatua gani?
 
mwambien mheshimiwa atulie yake yamemshinda anakimbilia ya wenzake. hivi bado yupo nchi au kisha sepa (vasco da gama):focus:
 
Back
Top Bottom