Masikini hadhurumiwi

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Kuna watu wanalaumu matajiri kwamba wanawadhurumu Maskini. Lakini kimsingi maskini ni mtu asiejiweza kwa lolote, sasa itakuaje adhurumiwe? Au kutomsaidia ndio kumdhurumu?
 
Kuna watu wanalaumu matajiri kwamba wanawadhurumu Maskini. Lakini kimsingi maskini ni mtu asiejiweza kwa lolote, sasa itakuaje adhurumiwe? Au kutomsaidia ndio kumdhurumu?
Assume wewe ni tajiri(milionea) ndugu yako kafariki akaacha mtoto mdogo yatima (hana mama), akaacha pia nyumba na mashamba ambavyo kimsingi ndio urithi wa huyo mtoto. Sasa nawe ukatakiwa kusimamia mali hizo hadi mtoto akue. Ndipo bwana kukumdogo ukaingiwa na tamaa, ujimilikisha wewe hizo mali kisha huyo mtoto baada ya kuwa mtu mzima akadai hizo mali nawe ugome kumpatia kisa umezihangia mno ko unampa kidogo tu cha kuanzia.
Hapo hujadhurumu kweli?
 
Na huyo mtoto sio maskini. Tatizo linakuja pale kwenye maana ya umaskini maskini hawezi kuacha nyumba na mashamba kwa mwanae. Hio situation ni mbwa kala mbwa ukijipindua watu tunachukua mali, na malipo ya kutunza mtoto lazima ujikatie kidogo sehemu ya mali ili uweze kufinance yeye kusoma kuvaa kula nk. Sasa wabongo tunapenda mtelezo mtu akifa wanataka mwingine amenyeke kwa mali zake alafu dogo akikua anachukua mali kama alizinya.

Kimfaacho mtu chake bhana huduma atapata toka kwenye mali ya baba yake
 
Umaskini ni hali sio unyonge kama watu wanavyodhani umaskini ni shida huna kitu upo hohe hahe mlo wa siku chenga ndio umaskini sio ile ya magufuli kusema wananchi maskini wakati wanaingiza hadi 50k pre day yeye anajumuisha wote maskini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna watu wanalaumu matajiri kwamba wanawadhurumu Maskini. Lakini kimsingi maskini ni mtu asiejiweza kwa lolote, sasa itakuaje adhurumiwe? Au kutomsaidia ndio kumdhurumu?
Na maskini wanakuaga na makasiriko kama koboko kila sehemu akipita anagonga maskini nae ni lawama mtindo mmoja unakuta hana cha kufanya ila atamlaumu mwenzake ambae kapambana na Mungu kambariki utaskia lawama tele kisa hayupo kwenye bajeti za wenye nacho
 
Kuna watu wanalaumu matajiri kwamba wanawadhurumu Maskini. Lakini kimsingi maskini ni mtu asiejiweza kwa lolote, sasa itakuaje adhurumiwe? Au kutomsaidia ndio kumdhurumu?
Tajiri anapo muajiri masikini kwa ujira usio endana na kazi anayo ifanya tayali kamdhurumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ