Masikini kijana anasubiri hukumu ya Baba

Masikini kijana anasubiri hukumu ya Baba

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeguswa na unyongecwa huyo dogo.

Mwamba anasubiri kichapo baada ya kurejea nyumbani usiku tena mikono mitupu bila mayai alotumwa

Naomba tumpe ushauri kwani nasisi ni Wazazi

FB_IMG_16878934412116731.jpg
 
tuliokulia kienyejini hizo matukio za kula vipigo ilikuwa kawaida sanaaa 😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kuna mashataka kama matano hivi
1.kuchelewa kurudi
2.hajaoga
3.amengia ndani na viatu
4.hata mchana hakutokea (kwahyo chakula cha mchana alikula wapi)
5. kavaa bukta ya shule kitaa.
 
Back
Top Bottom