U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jun 27, 2023 #1 Wadau hamjamboni nyote? Nimeguswa na unyongecwa huyo dogo. Mwamba anasubiri kichapo baada ya kurejea nyumbani usiku tena mikono mitupu bila mayai alotumwa Naomba tumpe ushauri kwani nasisi ni Wazazi
Wadau hamjamboni nyote? Nimeguswa na unyongecwa huyo dogo. Mwamba anasubiri kichapo baada ya kurejea nyumbani usiku tena mikono mitupu bila mayai alotumwa Naomba tumpe ushauri kwani nasisi ni Wazazi
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 623 Reaction score 1,809 Jun 27, 2023 #2 Kama anajua kutumia Google mwambie plan ziko nyingi
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Jun 27, 2023 #3 tuliokulia kienyejini hizo matukio za kula vipigo ilikuwa kawaida sanaaa π π π
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 2, 2023 #4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AKAN JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 991 Reaction score 963 Jul 2, 2023 #5 Hapo kuna mashataka kama matano hivi 1.kuchelewa kurudi 2.hajaoga 3.amengia ndani na viatu 4.hata mchana hakutokea (kwahyo chakula cha mchana alikula wapi) 5. kavaa bukta ya shule kitaa.
Hapo kuna mashataka kama matano hivi 1.kuchelewa kurudi 2.hajaoga 3.amengia ndani na viatu 4.hata mchana hakutokea (kwahyo chakula cha mchana alikula wapi) 5. kavaa bukta ya shule kitaa.