Masikini Li Vogue la Madame

ununue hyo range evoque af ushindwe kulipia kodi,
hahahahahha
bongo movie wamchangie wawe wanatumia kukodisha kwa wasanii kufanyia movie zao
 
Inashangaza sana tena Toyota Lange Rover Evoque??
Uandishi wa mwendokasi au aliyeandika ni wale waliopewa ajira za kubebana na yupo kitengo nyeti TRA. Asije akakosea na digits.
 
Tena Nasikia Hyo Evoque Ilikuwa Mpya Kiasi Kwamba Alipiga Picha Meter Ili Tuone Mileage=0 Leo Anatembelea Bajaj
Masihara hayo hiyo gari iko tz cnc 2012 ikitumia namba za maputo......mmiliki wke alikua marley madolar kijana muuza ruby .....gari imetembea sana mileage za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…