Ukiwowa mke anaye jisoma afu ukakumbwa na stress ndo unajua uzuri wa mke. Kuna muda dunia inakuwa sawa na paradiso ndogo[emoji5] [emoji5] . Inshort mke ni mfariji
Siku ukiumwa na bahati mbaya ukawa umetapika vya kutosha sakafuni labda maliwato yako nje ya chumba chako, halafu ukishasikia nafuu ndio utafute dekio na ndoo ya maji udeki matapishi yako na hapo bado hali yako sio nzuri ...hapo ndo utatambua kwamba ubachela ni raha ama vipi