Masikini Ngoma anajuta kuibiwa AirPort

Masikini Ngoma anajuta kuibiwa AirPort

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Ukisikia kujuta ndo huku

Huyu mwingine ni wa kushika mkono tu na kupeleka pale jangwani maana anapatamani mwenyewe
Snapinsta.app_463828740_1241631983807972_1143269289713133579_n_1080.jpg

Snapinsta.app_464088713_900058168716991_9197322442195189022_n_1080.jpg
Snapinsta.app_463947264_1053770643209894_3571079633254408107_n_1080.jpg
 
Real madrid ya africa haina uwezo wa kufunga goli mpaka wapinzani wajifunge?Real madrid ya africa ilifungwa na ihefu? Simba mbovu iliishia robo fainali klabu bingwa, real madrid ya africa nayo ikaishia robo fainali klabu bingwa?
 
Punguza hasira mtumish
 
Kwa hiyo hatimaye mnakiri kuwa mliibiwa mchezaji. Yale ya Skudu yalikuwa danganya toto. Uto bana.
 
Back
Top Bottom