Tuhuma zozote hua lazima ziwe na" ithbati" ili kuzithibitisha tuhuma hizo,yaani kuwe na ushahidi,ila kwa vile umesema ni imani basi itaendelea kua ni imani tu.Kwa sisi mwenye iman ndogo huyu kapigwa kipapai na WCB
Naludia tena kusema kwa sisi mwenye iman ndogo na potofu
Iyo kansa ya katupiwa na WCB
Ni kweli ni kansa?Dah! mungu amjalie aweze kupona jamani
hawaaminiki haoMh kiki kwenye ugonjwa.tena kansa?
AmenKama ni Kweli Allah amfanyie wepec...maana speaking of cancer moyo huwa unaripuka na kuwa mnyonge..nikisikia mtu ana sumbuliwa na kansa...ni maradhi hatari sana kuwahi kutokea na kupona ni kwa neema tu ya Mungu tena uiwahi mapema sana kbl haijafanya damage zaidi....May allah be his healer, wengine (doctors) iwe ni sababu tu. amin