S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Mar 29, 2013 #1 Nazionea huruma private school kukosa wanafunzi watakao jiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2013 kutokana na matokeo yalivyo maana hizo goverment school ndo hivyo je hizo private school sijui itakuwaje
Nazionea huruma private school kukosa wanafunzi watakao jiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2013 kutokana na matokeo yalivyo maana hizo goverment school ndo hivyo je hizo private school sijui itakuwaje
C Chipolopolo JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 1,425 Reaction score 726 Mar 29, 2013 #2 Ni kweli kutakuwa na changamoto hiyo.Janga la kitaifa.Mbali na hayo mkuu,fanya uhariri kwenye baadhi ya maneno hapo juu...
Ni kweli kutakuwa na changamoto hiyo.Janga la kitaifa.Mbali na hayo mkuu,fanya uhariri kwenye baadhi ya maneno hapo juu...
S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Mar 29, 2013 Thread starter #3 Chipolopolo said: Ni kweli kutakuwa na changamoto hiyo.Janga la kitaifa.Mbali na hayo mkuu,fanya uhariri kwenye baadhi ya maneno hapo juu... Click to expand... hapo fresh ndugu
Chipolopolo said: Ni kweli kutakuwa na changamoto hiyo.Janga la kitaifa.Mbali na hayo mkuu,fanya uhariri kwenye baadhi ya maneno hapo juu... Click to expand... hapo fresh ndugu
C Chipolopolo JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 1,425 Reaction score 726 Mar 30, 2013 #4 Sheko said: hapo fresh ndugu Click to expand... Tuko pamoja....