Hivi kwanini unatakaga kutuletea mambo ya bar hku nani kakuambi sisi ni walevi wenzako we umekutana na mlevi mwenzako wote mkiwa mmewlewa sasa sisi mambo ya kilevi wapi na wapi ulizaliwa siku gani?
Na sehmu gani ?
Wakati mama yako amekuweka tumboni alikuwa anatumia kinywaji gani?
Coz ninashindwa kutambua mawazo yako yapo kipombe pombe ?
Hawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.
Bila UKAWA hakuna katiba ya Wananchi. Hii ni katiba ya CCM ikishirikiana na CCM wenzao kutoka 201 kama Kingunge kutoka kundi la Waganga na Wachawi, Askofu Mtetemelwa, na Oluoch
Bila UKAWA hakuna katiba mpya kamwe! Ccm kwa ufisadi hawajambo, wametupa kando maoni ya wananchi halafu wanajadili katiba ya kutoka lumumba! Waliobaki dodoma ni mainterahamwe wakiendelea kutuibia watanzania 300000 kwa siku pesa ambayo ingeboresha miundo mbinu vijijini! Nape umepoteza dira sana baada ya kuanza kulamba viatu vya mafisadi!
Tatizo hujajielewa bado.Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!
Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
Nape umewashika pabaya, sasa wanatapatapa.
Nape goo gooo goooo, mpaka waishiwe maneno!
bila shaka!Lazima huyo CHADEMA atakuwa Shibuda.
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
- I hope huu muungano utadumu maana tunayoyasikia huku mtaani watabaki Chadema peke yao,!!
Le Mutuz System
Tangulini adui akampa angalizo adui yake kwamba anapotea!
Sent from my iPad using JamiiForums app