Masikini wajengewa ukuta India kuficha ukweli

Masikini wajengewa ukuta India kuficha ukweli

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Viongozi kumbukeni "karma"..nimefedheheka sana yaani Wazee wanatimuliwa kwenye eneo waliloishi miongo kadhaa na masikini wengine wanajengewa ukuta ili kuficha hali halisi ya eneo.

Kumbe kuwa masikini ni uchafuzi wa mazingira aisee...daaah..Nimekumbuka maadui watatu tena ingawa nilikuwa sitaki kuwakumbuka.

Thamani ya Mtu imekuwa vitu na siyo utu.Aisee...umasikini haufai kabisa...
 
Back
Top Bottom