Waswahili wasema ni bora umfadhili mbuzi utakunywa mchuzi kuliko kumfadhili binadamu utaamulia ushuziHii ndio tabia ya masikini, hawapendi watu wenye kipato, badala wawapende ili waonyeshwe njia.
Mbowe alikaa katikati ya kundi hilo, akatoa fedha, magari na kila kitu awanyanyue.
Lahaula, wakanyanyuka, wakaanza kumvurumishia matusi, kashfa na kila kitu.
Ushauri: ukiwa na hela keep the money for yourself. Hata wazungu walikaa oyersterbay hawakuwa wajinga. Hata umoja wa mataifa kututoa security Council sio wajinga.
Masikini hana dhamana wala kiapo
Cc: Dotto Magari