M Miss Pirate JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 305 Reaction score 75 Feb 1, 2012 #1 Nimetoboa masikio ila hayajapona na moja linatoa maji maji. Bado nimevaa hereni nilizowekewa na sonara ni mwezi sasa umekatika. Nifanyaje? mana naogopa hii hali.
Nimetoboa masikio ila hayajapona na moja linatoa maji maji. Bado nimevaa hereni nilizowekewa na sonara ni mwezi sasa umekatika. Nifanyaje? mana naogopa hii hali.