Wakuu wana JF, Madaktairi naomba msaada wenu wa tatizo langu la masikio kuziba na kuachia hasa napopatwa na mafua pia usiku, yana toa sauti kama ngoma iliyopigwa.
Nilipewa dawa ya kupuliza puani kwa mwezi mzima lakini sijaona tofauti yeyyote, napomba ushauri wenu hayana maumivu makali yakizidi sana baadae hupoa yenyewe.