Masikio kuziba na kusikia sauti kama ngoma

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
[h=2]Masikio kuziba na kusikia sauti kama ngoma[/h]
Wakuu wana JF, Madaktairi naomba msaada wenu wa tatizo langu la masikio kuziba na kuachia hasa napopatwa na mafua pia usiku, yana toa sauti kama ngoma iliyopigwa.

Nilipewa dawa ya kupuliza puani kwa mwezi mzima lakini sijaona tofauti yeyyote, napomba ushauri wenu hayana maumivu makali yakizidi sana baadae hupoa yenyewe.​
 
Pole sana hata mimi huwa kuna wakati nikiwa na mafua huwa nahisi mvumo fulani ila haizidi dk1 na huwa sisikii kitu chochote kutoka nje ya masikio.
Lakini hayo ya kwako komesha eti POOPOPO ova yanapiga horn.
 
pole sana kiongozi
ngoja dokta MziziMkavu ....aje
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…